Mmenyuko wa haraka na mbaya wa mzio. Huu unaweza kuwa majibu ya chakula au dawa. Dalili zinaweza kujumuisha matatizo ya kupumua, kupoteza fahamu na kushuka kwa shinikizo la damu. Mtu huyo atahitaji matibabu ya haraka na wakati mwingine anaweza kufariki.

Glossary health topic
COVID19 Glossary
Glossary terminology
Anaphylaxis