• Log in
  • Register
NSW Government – Multicultural Health Communication Service
  • Publications
    • Uploading your resources
    • Health Literacy
    • COVID-19 - Coronavirus
    • Latest Publications
    • Appointment Reminder Translation Tool
    • Glossaries
    • Browse by Language
    • Browse by Topic
    • Refugee health
  • Policies & guidelines
    • MHCS Plans and Guidelines
    • NSW Health Policies and Guidelines
  • Media
    • Newsletters
    • MHCS 20th Anniversary
    • Forums
    • Media Releases
    • Media Coverage
    • Multicultural Media online
  • About Us
    • Campaigns and Projects
    • What We Do
    • MHCS Staff Profiles
    • Frequently Asked Questions
    • Testimonials
    • Copyright and disclaimer
    • Awards
    • Multicultural Health Week
  • Log in
  • Register
    Open search
      Flower

      Glossaries search

      • Home
      • Publications
      • Glossaries
      • Glossaries search
      Search
      Terminology
      Topic
      Language

      Glossary PDF download

      • COVID19 Glossary - Swahili
      • Msaidizi

        Msaidizi ni kiungo kinachotumiwa katika chanjo zingine. Inasaidia miili yetu kufanya majibu yenye nguvu ya kinga. Msaidizi hufanya kazi pamoja na sehemu zingine za chanjo. Zimekuwa zikitumika kwa zaidi ya miaka 70 katika chanjo kadhaa.

      • Tukio mbaya (mmenyuko)

        Athari yoyote isiyotarajiwa au athari mbaya inayotokea baada ya chanjo au dawa. Kitu ambacho hakikutarajiwa kutokea.

      • Tukio mbaya kufuatia chanjo

        Athari isiyotarajiwa ambayo hutokea baada ya chanjo. Chanjo inaweza kutokuwa sababu ya tatizo.

      • Kamati ya Ushauri juu ya Chanjo

        Kikundi cha wataalam ambao hutoa ushauri wa kimatibabu na kisayansi. Kikundi hicho kinazungumza na Waziri wa Afya ya Serikali ya Australia na Utawala wa Bidhaa ya matibabu (TGA). Wanatoa ushauri juu ya maswala kuhusu usalama na matumizi ya chanjo.

      • Anaphylaxis

        Mmenyuko wa haraka na mbaya wa mzio. Huu unaweza kuwa majibu ya chakula au dawa. Dalili zinaweza kujumuisha matatizo ya kupumua, kupoteza fahamu na kushuka kwa shinikizo la damu. Mtu huyo atahitaji matibabu ya haraka na wakati mwingine anaweza kufariki.

      • Antijeni

        Dutu ya kigeni (nje) kama bakteria, virusi, au fangasi/kuvu zinazosababisha maambukizo na magonjwa ikiwa inaingia ndani mwilini. Mfumo wa kinga unaitambua na kutengeneza kingamwili kupambana nayo.

      • Mwungano

        Kiungo kati ya tukio moja linayofanyika wakati huo huo na tukio lingine. Ukweli kwamba yanafanyika pamoja hathibitishi kwamba tukio moja linasababisha tukio lingine.

      • Bila Dalili

        Mtu bila dalili za maambukizo.

      • Chanjo ya kudhoofishwa

        Chanjo za hai hutumia aina ya dhaifu ya vijidudu vinavyosababisha ugonjwa. Chanjo hizi ni kama maambukizi ya asili ambayo husaidia kuzuia. Zinaunda majibu ya kinga yenye nguvu na ya muda mrefu.

      • Reigista ya Chanjo ya Australia

        Usajili wa elektroniki ambayo ina habari juu ya chanjo zote zinazopewa kwa Waaustralia wote.

        1234567 Last Next
      back to top Back to top

      Follow us

      • Facebook
      • YouTube
      • Mail
      • Twitter
      • WeChat
      • LinkedIn
      • Instagram
        • Service NSW
        • NSW Health
        • Careers in NSW Health
        • Subscribe
      • Site information
        • Site Map
        • Accessibility
        • Contact
        • Privacy
        • Copyright and Disclaimer

      © Copyright NSW Govemment